PANTONI HOYEEEE!!

Leo nilikuwa na safari ya Kigamboni...Hii ni mara yangu ya kwanza kupanda MV Kigamboni na kukuta matangazo ya ukweli katika plasma screen zilizonatishwa ukutani..Vere intanshno kwa kweli...Pantoni Hoyeeee!!!



No comments: