Wako wapi UNIQUE SISTERS???


Leo nimeamka kichwani na wimbo 'Urafiki gani'..kibao murua kilichoporomoshwa na kundi la kina dada la Unique Sisters miaka kadhaa iliyopita.Wapo wapi wadada hawa???Nilikuwa nasuuzika sana na umahiri wao kwenye kuimba na 'soft' style zao za kucheza...


No comments: