Harusi ya Elly Mgumba na Mkewe Sarah (Shemeji) yafana..

Wadau wa karibu wa bwana na bibi harusi wakifatilia kwa makini
Bwana Harusi Akimvisha PETE Mkwe Wake mpendwa
Bibi Harusi Akimvisha PETE Mume Wake mpendwa
Maharusi pamoja na wadhamini wao - nyuma kuna wapambe na mbele watoto wa kupamba harusiBwana harusi akimbeba bibi harusi
Bestman na Matroni wakiingia ukumbini
Bwana na bibi harusi wakiingia ukumbini

No comments: