MTIKILA AZUA MTIKILA MWINGINE



Mwenyekiti wa chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila (katikati)akichukuliwa na askari kanzu kutoka nyumbani na kumpeleka polisi kwa ajili ya kwenda kupata maelezo baada ya kumtuhumu kwa kuandika waraka wa kichochezi.Picha na Silvan Kiwale

Imetumwa na:Mdau Bariki.

1 comment:

Anonymous said...

sasa hii ni hatari,kila siku Mtikila anakuja na kesi tu.
Guys is this the right way for the person who is in the presidential race to IKULU?