ZITTO NA MNYIKA.....

Kamanda Zitto Kabwe akimnadi John Mnyika mgombea Ubunge jimbo la Ubungo katika mkutano wa Hadhara Kimara Matangini...Zitto anaongoza kwa kutoa tafu kwa wagombea wa chama chake ili kuongeza mashambulizi bungeni na kumuandalia Dr.Slaa wabunge wa kutosha,amesikika akisema..

No comments: