NYOTA NYINGINE YA CHADEMA ARUMERU MASHARIKI

Nassari akihutbia Umati kwenye moja ya mikutano yake ya kampeni Jimbo la Arumeru Mashariki
Habari Mdau

Naomba upost hizi picha za Arumeru mashariki kwenye blog yako

"Mikutano ya kampeni ya Mgombea Ubunge Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA Bw Nassari Joshua "

Jina Kamili: Nassari Joshua Samwel, Jimbo: Arumeru Mashariki Chama: CHADEMA

Joshua; ni msomi wa Sosholojia toka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam. Amekuwa mstari wa mbele kutetea haki na maslahi ya vijana kwa muda mrefu. Alipokuwa chuoni alikuwa Spika wa serikali ya wanafunzi na kusimamia maslahi ya wanafunzi hususan wanaotoka katika familia zenye hali duni.

Rgds
Hellena
------------------------------------------------------------------------------------------
Bila Hiyana Nimezitundika kama ulivyoagiza......

No comments: