DEBORA AMEREMETA

Former student wa IFM Debora Masalu JS akiwa na Big smile on her wedding day!!Ilikuwa ni Nderemo,Vifijo,Tabasamu na Bashasha pale wawili hawa walipoungana na kuwa mwili mmoja..Mungu awajaalie maisha mema yenye heri na fanaka.

2 comments:

Anonymous said...

Wow hongera sana mrembo !!!!!

Anonymous said...

Sister! am very happy for u! i wish i was thr,bless u n mpe hi shem! Zamaradi!