BONGO MOVIE....TUTAFIKA??

Kanumba alifika hadi Hollywood na tulitarajia mapinduzi mengi toka kwa "The Great"
Monalisa 'mkongwe' wa toka enzi za Mambo hayo.....tunakuangalia wewe utupe ladha za kibunifu zaidi hatimaye tuliteke soko la ndani na nje ya nchi

Kaka 'The Greatest' kazi zako zinaweza kuwa bora zaidi ya sasa.....Unakumbuka enzi za Ant Seche???tunakutegemea uibue admau changa kama ilivyokuwa kwako ili soko lipate changamoto


Mama Ndina......Ukitumia muda zaidi kuongeza 'suspense kwenye stori zako unaweza kutoa itu kama 'slum dog millionaire'
Wadau nimewaletea hii mtwambie je kwa mwendo wa sasa tutafikia levo za Hollywood miaka mingapi ijayo???



SAKATA LA GURU NYUU CHAPTA

GURU'S FAMILY HEARD OF HIS DEATH THROUGH THE PRESS

Relatives of late hip-hop star GURU are fuming after they learned of the rapper's death through the press - a day after his passing.The music legend, real name Keith Elam, lost his cancer battle on 19 Ap ril (10) in a New York medical facility. He had been in a coma since Febr uary (10).But Guru's sister Patricia is upset the star's business partner and col laborator Solar failed to notify his relatives, including the rapper's so n KC, who heard the tragic news on the radio.She tells MTV News, "(My son) Justin found out on the internet and call ed me. I had to call my dad. (Guru's nine-year-old son) KC found out ridi ng in the car, hearing it on the radio. That's not right if you care abou t someone. That's not how you treat them."My brother would never have wanted us to find out that way. Never in a million years. Especially his son." Patricia is also angry with the hospital authorities who released Guru' s body to Solar, insisting her beloved sibling should have been returned to his family.

Kwa mengineyo http://www.pr-inside.com/guru-s-family-heard-of-his-death-r1860763.htm

GARI YA RAISI ENZI HIZO

Kutoka Jumba la hifadhi za kihistoria Betel Jaib-Zanzibar nalileta kwenu 'BENZI' la wakati huo alilotumia Rais Karume...Wadau kweli tumetoka mbali,hebu pata picha dereva huyu kama aliwahi kuwaza kama kuna magari Automatic yatakuja wala mambo ya Powerwindow au VVT-I...

Unapovaa Bango la biashara

Nadhani hili linaweza kuwa Tangazo mwanana la Zap....

UJUMBE MARIDHAWA

Sijui anaeandika katika magari ni mmiliki ama dereva wa gari??

I LOVE DARESALAAM

Zizi letu Dar es Salaam...I mean Jiji letu Dar es Salaam

JMARTINS PIA NAJUA UHURU WA KUONGEA


Wadau hawakuchelewa ku-sign Autograph na Mkali Jmartins

Watu wote nikisema Zain munasema ONE...Zain...ONE...Zain ONE....twende kazi OYOYOOOOO


JMartins kazini



UHURU WA KWELI WA KUONGEA...CHID BENZ KAZINI

CHid akikamua kwa mzukaaaaa
Kamanda wa Kikosi cha LAfamilia akipiga rigwaride la Darisaalaam sted up put yua hends up....Wakamkubali kiaina

Dada Chiku nae akimsaka Honey.....full sapoti kwa Chid na Bendi yake


PALIKUWA HAPATOSHI...CHID AKIPAGAWISHA

UHuru wa kuongeaaaaaaaaaaaaa
Wadau wakishangilia Uhuru wa kweli wa Kuongea na makamuzi ya Chidi Benzi aliyepiga Hip hop na LIVE BAND....Mapinduzi...

WADAU NA J MARTINS

J Martins akiwa na wadau wa Zain alipotemnelea ofisi za Zain Morocco Mchana wa leo..Inafurahisha kuona waafrika tukifagiliana siku hizi..watu hawakujivunga kuomba kupiga picha na mkali huyu

ZAIN YAMLETA MKALI J-MARTINS

J-MARTINS mwanamuziki nguli kutoka Nigeria atafanya makamuzi kwenye mjengo wa Zain Morocco kesho Tarehe 20/04/2010(Tofauti na inavyosomeka hapo kwenye Tangazo).Mkali huyo mwenye kibao kinachovuma cha Oyoyo atavurumusha mawe mazito akiambatana na King Kong Chid Benz kutoka La Familia Ilala pamoja na Belle9 namba tata inayochipukia katika Bongo Fleva....Tukio hili la kihistoria litaruka Live ya moja kwa moja kwenye ITV na EATV Channel 5 kuanzia saa 3 usiku.....Usikose kutazama LIVE

I LOVE ZIS PIKCHA


Ubingwa toka tangu na tangu.....

SIMBA MUNYAMA.....

Mzuka wangu ukinipanda hata nguo ntavua...vuaaaaaa!!!EEh Kidedea
Shabiki wa Wekundu wa Msimbazi akipagawa baada ya Musa Hassan Mgosi kunyonyesha bao la pili kwa kichwa Swaaaafi....

Kikosi cha maangamizi cha Wekundu wa Msimbazi kilipiga Duaaa kabla ya kuwadondoshea Dozi wapinzani wa Jadi YeboYebo





FUMANIZI

At a doctor's surgery one morning a patient arrives complaining of serious back ache. The doctor examines himand asks him, ‘What the hell did you do to your back?’The patient replies, 'You know that I am a bouncer at a local night club? Well, yesterday morning I got home to my flat quite early and heard a noise in my bedroom. On entering I knew someone had been sleeping with my wife as my wife was lying naked in bed and the balcony door was open. I rushed out the balcony door and did not find anyone. As I looked down from the balcony I saw a man running out of the building and he wasdressing himself. I grabbed the fridge and threw it at him.That's how I strained my back.
The 2nd patient arrives looking as if he has been in a car wreck. The doctor says, 'My previous patient looked bad, but you look terrible. What the hell happened to you?’The 2nd patient replies, 'You know I have been unemployed for a while now Doctor? Well yesterday morning was my first day at my new job. I forgot to set my alarm and was running late. I was running out of the building, getting dressed at the same time, and you won't believe it but I was hit by a fridge….
The 3rd patient arrives; he looks even worse than the other two patients did. The doctor was shocked. Again he asks, 'What the hell happened to you?' 'Well, you see, I was sitting in a fridge…………….”
Mdau

HAYA YOTE UNAYAPATA MJINI MBEYA...

Hili Tangazo liliniacha Hoi nikajiuliza Je!wapi ipo Toilet ya kawaida kama hii ni ya emergency ya Dharura?

AIESEC CAREER FAIR 2010


KESHO JUMAMOSI CHUO KIKUU CHA UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
CAREER FAIR CONCEPT

Career Fair is an annual event organised by AIESEC in Tanzania that seeks to bring employers and prospective employees together through an informal but interactive gathering. Through this event a large number of companies are brought together in one location where students get to explore their career options. So far, this event has proven to be a great achievement over the past 9 years and succeed to both students and participating organisations from the first Career Fair held in 2001. AIESEC believes that organizations can get potential workforce from the Career Fair and also students can get to learn more about their career options from the participating organizations. This year, event will be conducted in Dar Es Salaam and Mwanza.


CAREER FAIR DAR ES SALAAM on 17TH & 18TH April 2010
Event will be done at University of Dar Es Salaam (Nkuluma Hall) which will involve students from Mzumbe, IFM, CBE, DIT, TIA and University of Dar Es Salaam. Event has brought 24 participating companies which are:

HARARE KULIPUKA KWA JAZZ FESTIVAL



JAZZ FESTIVAL Jumamosi hii...Oliver Mutukudzi,Maskela na Wakali wengine kutumbuiza kesho tarehe 17



Two great South African acts will travel to Zimbabwe this Saturday April 17 at Harare Sports Club in Zimbabwe. For Maskela, a titan of global music, whose contributions to American rock span back to the Byrds' "So You Want to Be a Rock 'n' Roll Star" and work with Paul Simon, it will be the first visit to Zimbabwe in the wake of his son's untimely and tragic death. The festival this weekend will seem him at his best, performing jazz-by-way-of re-used mbaqanga influences.Also to perform are Ladysmith Black Mambazo along with Zimbabwe's Oliver Mtukudzi and the Cool Crooners, Sibongile Khumalo, Jazz Invitation, Mbare Trio and Italy's Silvia Manco.

MTIKILA AZUA MTIKILA MWINGINE



Mwenyekiti wa chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila (katikati)akichukuliwa na askari kanzu kutoka nyumbani na kumpeleka polisi kwa ajili ya kwenda kupata maelezo baada ya kumtuhumu kwa kuandika waraka wa kichochezi.Picha na Silvan Kiwale

Imetumwa na:Mdau Bariki.

SAKATA LA UHURU PARK

Halmashauri yaweweseka sakata la Uhuru Park

Na Daniel Mjema,Moshi(GAZETI MWANANCHI)


HALMASHAURI ya Manispaa ya Moshi imesema pamoja na Baraza la Madiwani kupitisha uamuzi wa kumpa mwekezaji hati ya muda ya kumiliki eneo la Uhuru Park mjini Moshi, bado haujathibitishwa rasmi.


Kaimu mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Dk.Christopher Mtamakaya jana alilazimika kuitisha kikao na waandishi wa habari kujaribu kufafanua uamuzi huo ambao unapigiwa kelele na wanaharakati na wananchi wa Moshi.


â€Å“Naomba jamii na vyombo vya habari vielewe kuwa suala la kutoa subtitle (hati usu) ya miaka 33 na kuruhusu mwekezaji huyo kuchukua mkopo wa kuendeleza eneo hilo la wazi limepitishwa na Baraza la Halmashauri,â€� alisema.


Dk Mtamakaya alisema utekelezaji wa maamuzi ya baraza hilo la madiwani utafanyika baada ya muhtasari wa kikao hicho kuthibitishwa na kuwa na kumbukumbu halali za halmashauri katika kikao kitakachofanyika Juni mwaka huu.


â€Å“Mkataba wa awali wa miaka 10 kati ya halmashauri na mwekezaji wa kuendeleza eneo hilo utavunjwa na pande hizo mbili wataingia mkataba mpya ambao utazingatia maamuzi ya kikao hicho cha baraza,â€� alisema Dk. Mtamakaya.


Kwa habari zaidi bofya hapa

BOX za KUDOZI UWANJA WA NDEGE WA EAPOTI DUBAI




Mabox ya kupiga mbonji kama unasafiri na ku-connect Dubai International Airport...

SLEEPBOX is intended primarily to perform one main function – to enable a person to sleep peacefully. But it can also be equipped with various additional functions, depending on the situation. Application of the device can be very broad, not only in the form of paid public service, but also for internal purposes of organizations and companies.



Read more: http://www.chillnite.com/sleep-box-coming-to-dubai-airport#ixzz0lFBvuoqG

KASTAMA KERO...DU!!



Haya wazee wa Huduma kwa Wateja......

By Mdau..

MIMI NA BIBI



Nikitokea safarini Moshi nilipiga STOP kumsabahi Bibi yangu mzaa mama kijijini Chekereni kata ya Mabilioni(wenyeji husema Mabironi) Wilayani Same....Asante kwa sala Bibi

PATHFINDER KUTOKA JERUSALEM




Kikosi Kazi cha vijana wa Pathfinder wa SDA church Yerusalem kata ya Mabilioni wilayani Same wakiwa kwenye mazoezi...Ikiwa ni maandalizi ya Kongamano la Wasabato litakalofanyika Jumamosi ya Tarehe 17 huko Usharika Mkonga wilayani Same.

RAV 4 SAFI KABISA



Rav 4 hiyo jamani wadau inaenda kwa dola 8000 tu CIF dar,haya mwenye
kupendezwa ayo....piga simu namba 0787670602

MKWARA MZITO


Makampuni ya Ulinzi sasa yakae chonjo....tumezoea vibao vile vya 'nyumba hii inalindwa na mitambo ya kuzuia wezi'....hii ni yunik

KIMETA IN ACTION

Pichani muatirika wa kimeta kilichoikumba wilaya ya Hai na kupelekea Mabucha kufungwa mwishoni mwa mwezi jana...Hali kidogo imetengemaa na baadhi ya mabucha yaliyokidhi viwango yamefunguliwa





Mzee huyu aliambukizwa kimeta baada ya kumhudumia ng'ombe wake aliyekuwa anaumwa gonjwa hilo kijijini Narumu wilayani Hai...

Pensi kadet mtumba 500/= tu..


Naweza kuvaa mwaka mzima na bado nikaliuza mtumba

Viwanda vya nguo nchini vitapona kweli?


Leo nimenunua pensi hii kwa shilingi 500/=(mia tano) tu....sokoni Mbuyuni Moshi mjini.Nikajiuliza kweli viwanda vyetu kama Urafiki,Sunflag,KTM n.k vitawezaje kupambana bei na mitumba?TAFAKARI